Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Bandari Fc ya nchini Kenya
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa
Simba imefanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Uhuru






ADVERTISE HERE