Baada ya uongozi wa Simba kumaliza sakata lake la usajili, beki Asante Kwasi ameanza mazoezi na kikosi cha Simba kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda FC.
Kwasi ametua jana jijini Dar es salaam na leo asubuhi ameanza kujifua na wenzake.
Simba ililazimika kuilipa Lipuli FC Mil 25 kuweza kumpata beki huyo raia wa Ghana.

ADVERTISE HERE