Mashabiki wakwama kushuhudia mazoezi ya Simba Kaitaba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2019
Mashabiki wakwama kushuhudia mazoezi ya Simba Kaitaba

Kikosi cha Simba kimewasili mapema leo mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Alhamisi

Jioni Simba imetumia uwanja wa Kaitaba kufanya maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo huo ambao utapigwa hapo Kaitaba

Licha ya mashabiki wengi kujitokeza kushuhudia mazoezi hayo, hawakuweza kwani uongozi wa Simba haukuruhusu mashabiki kuingia uwanjani ili kuepuka hujuma

Kagera Sugar imekuwa ikitoa upinzani kwa Simba misimu ya karibuni, hali hiyo imepelekea mabingwa hao wa Tanzania Bara kuuchukulia mchezo huo kwa umakini

Uongozi wa mkoa wa Kagera umeipa maadalizi maalum timu ya Kagera Sugar ili kuhakikisha inapata ushindi kesho

Inaelezwa hapo kesho timu hiyo itasindikizwa uwanjani na msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’