Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimefika salama Bukoba
Leo jioni kitafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Kaitaba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar

ADVERTISE HERE