Zahera kuwakata wachezaji wanaogomea mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2019
Zahera kuwakata wachezaji wanaogomea mazoezi

Wachezaji wa Yanga leo asubuhi waligoma kufanya mazoezi baada ya viongozi wa timu hiyo kushindwa kufika uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini kwa ajili ya kufanya kikao na wachezaji hao

Inaelezwa kutokana na msimu kuelekea ukingoni, wachezaji waliomba kukutana na viongozi ili kujua hatma ya malipo ya madai ya mishahara na fedha za usajili

Hata hivyo viongozi walishindwa kutokea mazoezini hivyo wachezaji kuamua kugoma kufanya mazoezi licha ya kocha Mwinyi Zahera kuwataka wasitishe mgomo huo

Baada ya tukio hilo, kocha Zahera ameuagiza uongozi wa Yanga kuwapa taarifa wachezaji kuwa kama watashindwa kufika mazoezini kesho basi watakuwa wamejiondoa wenyewe

Zahera amesikitishwa na mgomo huo wa wachezaji licha ya juhudi kubwa anazofanya kuhakikisha anawasaidia kupata stahiki zao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’