Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewapa wachezaji wake mapumziko ya siku moja baada ya kujifua kwa wiki nzima
Jana Simba ilifanya mazoezi ya Gym ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa Septemba 26 dimba la Kaitaba
ADVERTISE HERE