Yanga Princess yaendeleza uteja kwa Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Apr 2019
Yanga Princess yaendeleza uteja kwa Simba Queens

Wakinadada wa Yanga Princess wameshindwa kulipa kisasi dhidi ya watani zao Simba Queens baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake, Serengeti Lite uliopigwa uwanja wa Karume

Katika mchezo wa duru ya kwanza, Yanga Princess ilichapwa mabao 7-0, leo wamefanikiwa kupunguza idadi ya mabao huku wakifunga bao la kufutia machozi kupitia kwa Fausta Thomas

Matokeo hayo yanaakisi tofauti ya ubora wa vikosi vya timu hizo huku Simba ikionekana kuwekeza zaidi katika timu yao ya Wanawake

Msimu huu Yanga Princess itahitaji kupambana ili kuepuka kuteremka daraja ikitarajiwa uongozi mpya utakaochaguliwa mwezi ujao kukiboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’