Mwanzo mzuri kwa Miraji Athumani Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Sep 2019
Mwanzo mzuri kwa Miraji Athumani Simba

Umekuwa mwanzo mzuri kwa winga Miraji Athumani aliyesajiliwa na Simba kutokea klabu ya Lipuli Fc

Miraji tayari amefunga mabao mawili kwenye ligi kuu ya vodacom msimu huu katika michezo dhidi ya JKT Tanzania na Mtibwa Sugar

Katika michezo yote hiyo Miraji hakuanza lakini alitumia vyema nafasi alizopata na kufunga mabao

Kwa sasa ni mmoja wa wachezaji wanaongaliwa kwa jicho tofauti na kocha Patrick Aussems, pengine muda si mrefu atajihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza

Wakati Simba ikiwa bado inasaka mbadala sahihi wa Emmanuel Okwi, pengine Miraji anaweza kuifanya kazi iliyokuwa ikifanywa na Okwi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’