Simba kucheza na Dodoma FC Jumatano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Oct 2017
Simba kucheza na Dodoma FC Jumatano
Baada ya kuichapa Stand United 'Chama la Wana' na kushika usukani wa Msimamo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara, Simba SC 'Wekundu wa Msimbazi' kesho Jumatano Oktoba 4, watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dodoma FC Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Hii ni sehemu muhimu ya kocha Joseph Omog kutathimini kikosi chake wakati huu VPL imesimama kupisha kalenda ya FIFA, huku Dodoma FC ya Jamhuri Kiwhelo 'Julio' yenyewe ikijipanga zaidi na Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara (FDL).
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’