Azam FC imezidi kubomoka kwani wachezaji wake tegemezi wote wanaikacha timu hiyo.
Tayari Simba imesajili watatu, Kapombe, Bocco na Manula huku nasi tukimnasa Gadiel Michael.
Sasa Ramadhani Singano 'Messi' amegoma kusaini mkataba mpya baada ya kupewa ofa ya Mil 10 na mshahara wake kupunguzwa.
Mkataba wake na Azam unamalizika ndani ya wiki mbili na amejiweka sokoni mwenyewe.
Naambiwa Yanga ni miongoni mwa timu nne zilizowasilisha ofa ya kumsajili mchezaji huyo.
Litakuwa jambo jema kama akipatikana kwani tunahitaji kuongeza nguvu upande wa kushoto.
Mtu mwenye uzoefu kama wake anaweza kutufaa kwani Mwashiuya na Emanuel Martin wanahitaji muda zaidi wa kukomaa hadi kufikiwa kuwa wachezaji tegemeo.
Tena ingekuwa vizuri kama akipatikana, mmoja akatolewa kwa mkopo.

ADVERTISE HERE