Stars yafanya kweli, yaiondoa Burundi kwa penati 3-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Sep 2019
Stars yafanya kweli, yaiondoa Burundi kwa penati 3-0

Tanzania imesonga mbele hatua ya makundi kusaka tiketi ya michuano ya kombe la dunia baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 3-0 dhidi ya Burundi

Mchezo huo wa pili baina timu hizo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 matokeo sawa na mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Burundi siku tatu zilizopita

Samatta aliitanguliza Stars kwa bao safi kwenye dakika ya 29 lakini Burundi walisawazisha kwenye dakika ya 45 kupitia kwa Fiston Abdul

Baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1, dakika 30 ziliongezwa lakini hakukuwa na mshindi licha ya majaribio mengi kufanywa na Stars langoni kwa Burundi

Mkongwe Juma Kaseja aliokoa mkwaju wa penati wa Ngando Omary wa Burundi huku wapigaji wengine wawili wakipiga nje

Penati za Stars zilifungwa na Erasto Nyoni, Himid Mao na Gadiel Michael

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’