Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amewapa wachezaji mapumziko ya siku tatu baada ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuendelea na mazoezi siku ya Alhamisi, Septemba 05 2019
Aidha, wachezaji tisa wameitwa kujiunga na timu za Taifa, saba Tanzania, Meddei Kagere Rwanda na Francis Kahata Kenya
ADVERTISE HERE