FT : Simba 1-1 UD Songo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Aug 2019
FT : Simba 1-1 UD Songo

Mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Simba dhidi ya UD Songo umemalizika kwa sare ya bao 1-1 matokeo yaliyowavusha UD Songo kutinga hatua inayofuata

Ni matokeo ya kushtua ambayo yamewauma mashabiki wote wa Simba, lakini ndio mpira, wakati mwingine mambo yasiyotarajiwa hutokea

Simba iliuanza mchezo taratibu na pengine ndio kosa lililofanyika kwani UD Songo walihitaji bao la ugenini mapema kitua ambacho walikifanikisha

Na hata baada ya Simba kurejea mchezoni, haikuwa rahisi kuipenya ngome ya UD Songo huku washambuliaji wakishindwa kutumia nafasi nyingi walizotengeneza

Bao la kusawazisha kwa Simba lilifungwa na nahodha wa mchezo Erasto Nyoni kwa mkwaju wa penati baada ya Miraji Athumani kufanyiwa madhambi ndani ya eneo la hatari

Simba sasa inarejea kwenye mikikimikiki ya ligi kuu lengo kuu sasa likiwa kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’