Lukumay, Nyika wajiuzulu kupisha uchaguzi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2019
Lukumay, Nyika wajiuzulu kupisha uchaguzi Yanga

Mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Yanga unazidi kukaribia baada ya leo viongozi wawili wa Kamati ya Utendaji Samwel Lukumay ambaye ni Kaimu Mwenyekiti wa Yanga na Hussein Nyika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya usajili/Mashindano kujiuzulu nafasi zao

Kujiuzulu kwa viongozi hao ni sehemu ya mkakati wa Yanga inayojiandaa kufanya uchaguzi Mkuu wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza klabu hiyo kwa miaka minne

Ni dhahiri sasa Yanga itafanya uchaguzi Mkuu ambao ulipaswa kufanyika mwakani kutokana na mapendekezo ya Baraza la Wadhamini

Awali Yanga ilipaswa kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi ambazo ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Wajumbe Wanne wa kamati ya Utendaji

Lakini sasa viongozi wote wamejiuzulu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’