Bocco kuwakosa UD Songo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Aug 2019
Bocco kuwakosa UD Songo

Nahodha wa timu ya Simba, John Bocco ndiye mchezaji pekee aliyethibitishwa kuwa hataweza kucheza mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo siku ya Jumapili katika uwanja wa Taifa

Bocco alipata majeraha katika mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Azam FC, Jumamosi iliyopita ambapo mpaka sasa yupo chini ya uangalizi wa madaktari na bado hajaanza mazoezi

Meneja wa timu hiyo, Patrick Rweyemamu amesema kuelekea mchezo huo wachezaji watatu waliokuwa majeruhi wamerejea mazoezini na sasa ni Bocco pekee ndiye majeruhi

"Mpaka sasa Bocco ndiye hatakuwa sehemu ya mchezo wetu wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo lakini Aishi Manula, Ibrahim Ajibu na Wilker Henrique Da Silva wamerejea na wanafanya mazoezi na wenzao," alisema Rweyemamu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’