Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza siku ya Jumamosi August 24 kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Simba wao watashuka dimbani August 29 kuikabili JKT Tanzania katika mchezo utakaopigwa kwenye uwanja wa Uhuru
Jumapili, Simba inakabiliwa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya UD Songo
Watani zao Yanga ambao wako Botswana kuwakabili Township Rollers, watashuka dimbani August 28 kuikabili Ruvu Shooting
KMC na Azam Fc zitachuana August 27
Mechi za raundi ya kwanza;

ADVERTISE HERE