Kiungo wa AS Kigali Haruna Niyonzima leo alitembelea mazoezi ya Simba yanayoendelea uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam
Niyonzima amefika kuwasalimia wachezaji wenzake aliokuwa nao kwa misimu miwili
Yuko nchini na klabu ya AS Kigali ambayo Ijumaa itacheza na KMC kwenye mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho
ADVERTISE HERE