SportPesa 'kuijaza mapesa' Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2019
SportPesa 'kuijaza mapesa' Yanga

Yanga inatarajiwa kukabidhiwa kitita cha Tsh Milioni 900 na kampuni ya SportPesa zikiwa ni fedha za udhamini

Mkurugenzi wa Utawala wa Sportpesa, Abbas Tarimba amesema fedha hizo ni malipo ya kila mwaka kwa Yanga iliyoingia mkataba wa miaka mitano na kampuni hiyo

SportPesa ndio wadhamini wakuu wa klabu ya Yanga ambapo waliingia mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bil 4.9

Fedha hizo zitaisadia Yanga kutatua changamoto kadhaa kama kulipa malimbikizo ya mishahara ya wachezaji pamoja na matumizi mengine ya klabu

Pia zitaiongezea nguvu timu hiyo ambayo imepania kujiimarisha mwishoni mwa msimu ambapo wapenzi, wanachama na mashabiki wa Yanga wametakiwa kuchangia fedha za usajili

Yanga imedhamiria kukusanya angalau Bil 1.5, bila shaka fedha hizo za SportPesa 'zitatunisha' zaidi mfuko huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’