Mshambuliaji wa Simba Wilker Da Silva ameanza program ya mazoezi mepesi ambayo itamrejesha dimbani baada ya kupona majeraha
Da Silva aliumia Afrika Kusini kwenye kambi ya kikosi cha Simba

Mshambuliaji huyo raia wa Brazil ameungana na Aishi Manula na Ibrahim Ajib ambao pia wameshaanza mazoezi mepesi
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wachezaji hao hawatakuwemo kwenye kikosi chake kitakachoikabili Azam Fc keshokutwa kwenye mchezo wa Ngao ya jamii
ADVERTISE HERE