Kikosi cha Simba leo jioni kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, August 17 kwenye uwanja wa Taifa
Simba inajifua katika viwanja vya Gymkhana Dar es salaam



ADVERTISE HERE