Azam Tv wataonyesha mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa kati ya UD Songo dhidi ya Simba ambao utapigwa leo huko Beira Msumbiji
Mchezo huo utaanza saa kumi kamili jioni kwa saa za hapa nyumbani
Azam Sport 2 itakuwa mbashara kuanzia saa kumi kuonyesha mchezo huo
ADVERTISE HERE