Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmanuel Amunike ametaja majina ya wachezaji 25 wanaounda kikosi cha Stars ambacho kitaikabili Uganda Cranes kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019
Amunike ameita wachezaji wanne kutoka Yanga akimuacha nahodha Ibrahim Ajib. Wachezaji walioitwa ni Gadiel Michael, Feisal Salum, Andrew Vicent na Kelvin Yondani

ADVERTISE HERE