Uongozi wa Simba umetoa taarifa rasmi kuwa tiketi zaidi ya 54,000 ambazo ziliandaliwa kwa ajili ya SportPesa Simba Week, zimeuzwa zote
Mashabiki ambao wamekosa tiketi watalazimika kushuhudia tukio hilo kupitia Azam TV
Aidha uongozi wa Simba unaangalia uwezekano wa kuweka TV uwanja wa Uhuru ili kuwapa nafasi ambao wamefika uwanjani lakini wamekosa tiketi waweze kufautilia tukio hilo la kihistoria
ADVERTISE HERE