Uongozi wa klabu ya Simba umewatuza tiketi za bure mashabiki 100 wa kwanza walioshiriki zoezi la uchangiaji damu lililofanyika August 02-03 Mbagala, Ubungo na Makao Makuu ya klabu ya Simba
Mashabiki hao wametakiwa kufika Makao Makuu ya klabu, Msimbazi Kariakoo jijini Dar es salaam kuchukua tiketi zao kuanzia saa tatu asubuhi

ADVERTISE HERE