Jana Yanga ilipata ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Alliance Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba
Bao pekee la Yanga lilifungwa na Amissi Tambwe kwenye dakika ya 75
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika mchezo huo;








ADVERTISE HERE