Uongozi wa klabu ya Simba usiku wa kuamkia leo umetambulisha rasmi jezi zake zitakazotumika msimu wa 2019/20
Kutakuwa na jezi za aina tatu ambazo zitatumika kwa ajili ya michezo ya nyumbani, ugenini na dharura
Jezi hizo zitaanza kuuzwa leo kwa bei ya Tsh 30,000 tu
Kwa wale watakaohitaji jezi wanazotumia wachezaji, watazipata kwa Tsh 120,000/-


ADVERTISE HERE