Kikosi cha Simba kimewasili salama jiji la Johannesburg tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Orlando Pirates
Mchezo huo ambao ni wa mwisho kwa kikosi cha Simba, utapigwa katika jiji hilo kuanzia saa kumi jioni

ADVERTISE HERE