Kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Lindi kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa kombe la FA (ASFC) raundi ya tano utakaopigwa Jumapili Februari 24 kwenye uwanja wa Majaliwa wilayani Ruangwa


ADVERTISE HERE