Wakati utata ukiendelea kugubika usajili wa Mghana Asante Kwasi aliyetokea Lipuli, wachezaji Laudirt Mavugo na Jamal Mnyate wametolewa kwa mkopo.
Simba imempa mkataba ya miaka miwili beki Mghana Kwasi ambaye hata hivyo bado usajili wake umegubikwa na utata baada ya kuelezwa kuwa TAKUKURU inachunguza mchakato wa usajili huo.
Mshambuliaji Jamal Mnyate yeye amepelekwa kwa mkopo klabu ya Lipuli wakati Laudirt Mavugo yeye amekwenda kwa mkopo ligi kuu ya Oman ambako atamalizia mkataba wake uliobaki miezi sita.

ADVERTISE HERE