Aussems afurahia kiwango cha wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2019
Aussems afurahia kiwango cha wachezaji Simba

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema ameridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Township Rollers

Aussems amesema licha ya mchezo huo kuwa wa kujipima, ulikuwa na ushindani mkali jambo ambalo limemvutia kuona wachezaji wake wanafanya kile anachowaelekeza

"Leo nimeyaona mambo mazuri kutoka kwa wachezaji wangu hapa. Nimeridhika na kiwango chao kwani tumecheza na timu ambayo iko tayari kwa michuano ya ligi ya mabingwa," amesema

"Ulikuwa ni mchezo mzuri wa mazoezi ambao ulikuwa na ushindani kwelikweli. Lakini jambo muhimu ni kwamba bado naangalia yale ambayo tunayafanya mazoezini kama wachezaji wanayazingatia"

"Tunatakiwa kuendelea na mambo mazuri ambayo tumeyafanya na kufanyia kazi ambayo hayakuwa mazuri ... lakini nimeridhika, tumecheza vizuri"

Mchezo huo ulimalizika kwa sara ya bao 1-1

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’