Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumatano katika dimba la CCM Kirumba
Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo Jumatatu kwa usafiri wa Ndege

ADVERTISE HERE