Baada ya mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Township Rollers kumalizika kwa sare ya bao 1-1, uongozi wa Rollers uliishukuru klabu ya Simba kwa mchezo mzuri na kumpa zawadi ya jezi kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara, Patrick Aussems
Meneja wa Rollers Sydney Magagane alimkabidhi Aussems jezi hiyo baada ya mchezo
"Tunashukuru sana kwa mchezo huu wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Tanzania Simba," ilisema taarifa ya Township Rollers

ADVERTISE HERE