Wachezaji Yanga wakabidhiwa Mil 18

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2019
Wachezaji Yanga wakabidhiwa Mil 18

Mbunge wa Mtwara Vijijini Mh Hawa Ghasia ambaye ni mdau wa klabu ya Yanga juzi aliwakabidhi wachezaji fedha taslim Tsh Mil 18 ikiwa ni michango ya Wabunge na wadau mbalimbali wa klabu hiyo

Wabunge walichangia Mil 3, Ma Admin wa magrupu ya WhatsApp walichangia Mil 5, wakati Mil 10 zilichangiwa na Hussein Ndama, Bin Kleb na Mr Mashauri

Mh Ghasia amewashukuru wadau wote walioichangia Yanga kuendelea na utaratibu huo na kuwataka wasikatishwe tamaa na matokeo ya mchezo wa juzi.

"Nawashukuru wote walioichangia timu yetu, ingawa hatukushinda mchezo dhidi ya Simba lakini tusikate tamaa. Tuendelee kuichangia timu ili kuhakikisha tunatwaa ubingwa msimu huu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’