Msako wa wachezaji Simba B waanza

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jul 2019
Msako wa wachezaji Simba B waanza

Mchakato wa kukiunda upya kikosi cha timu ya vijana ya Simba chini ya umri wa miaka 20, 'Simba B', umeanza uwanja wa Kurasini jijini Dar es salaam

Wachezaji wenye vipaji ambao umri wao ni chini ya miaka 20 wameaswa kujitokeza kwa wingi katika mchakato huo ambao unasimamiwa na viongozi wa Simba

Msimu ujao Simba imedhamiria kuwa na vikosi imara kuanzia timu ya wakubwa, timu ya U20 na timu ya Wanawake maarufu kama Simba Queens

Timu ya kwanza ya Simba iko Afrika Kusini ikiendelea na maandalizi ya msimu mpya wakati Simba Queens iko Ujerumani kwenye mualiko maalum ambapo itakuwa huko kwa wiki mbili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’