Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Popatlal mjini Tanga kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika dimba la Mkwakwani



ADVERTISE HERE