Kaheza apelekwa Polisi Tanzania kwa mkopo, Mo Rashid JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jul 2019
Kaheza apelekwa Polisi Tanzania kwa mkopo, Mo Rashid JKT Tanzania

Washambuliaji wa Simba Marcel Kaheza na Mohammed Rashid watamaliza mikataba yao wakiwa nje ya klabu hiyo baada ya kuendelea kutolewa kwa mkopo

Mo Rashid aliyeitumikia KMC kwa miezi sita msimu uliopita, amepelekwa klabu ya JKT Tanzania wakati Marcel Kaheza aliyecheza AFC Leopards msimu uliopita amepelekwa klabu ya Polisi Tanzania

Licha ya kuonyesha ubora kwenye kikosi cha AFC Leopards, Kaheza ameshindwa kupenya kwenye kikosi cha Simba kutokana na usajili kabambe uliofanywa na timu hiyo

Wachezaji wengine waliotolewa kwa mkopo ni Adam Salamba aliyejiunga na TS Sporting inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Afrika Kusini

Mohammed Ibrahim 'Mo' yeye amepelekwa Namungo Fc

Wengine ni Paul Bukaba na Abdul Athumani wa timu ya vijana ya U20

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’