Simba imejichimbia hapa Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jul 2019
Simba imejichimbia hapa Afrika Kusini

Mazingira ya kambi ya Simba huko Afrika Kusini sio ya kitoto!

Simba imeweka kambi katika Hoteli ambayo ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2010

Uongozi wa Simba umesema kuwa umeweka kambi katika sehemu yenye hadhi ya Kimataifa kutokana na umuhimu wa maandalizi ya kikosi cha timu hiyo kuelekea michuano ya msimu ujao

"Tunajiandaa kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye mashindano ya ndani ya nchi na kimataifa, ndio maana hata kambi yetu ina hadhi ya kimataifa"

"Sehemu ambayo tumeweka kambi ndio ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza kwenye Kombe la Dunia 2010 ambalo lilifanyika hapa Afrika Kusini"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’