Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo amepewa heshima ya kipekee na Wazee wa mkoa wa Singida baada ya kutunukiwa Uchifu na Wanyaturu
Hafla hiyo ilifuatiwa na zoezi la uzinduzi wa Tawi kubwa la klabu ya Yanga Singida Mjini


Wakati akituzwa Cheo hicho na Wazee wa Kinyaturu, Zahera alivikwa mavazi maalum ambayo wazee hao wamesema yatampa ulinzi wakati akitimiza majukumu yake
"Adui hawezi kukuona, nakuvalisha ili unapofundisha hakuna mpinzani atakae kuona au kujua mbinu zako"

ADVERTISE HERE