Leo mashabiki wa klabu ya Simba wakiongozwa na mwenyekiti wa group la Simba HQ Mbunge wa Ilala Mh. Azzan Zungu wamemtembelea kumpa pole Kiungo Mohammed Ibrahim ambaye Juzi alipata msiba mzito kwa kufiwa na mwanae.
Safari hiyo pia ilimjumuisha Mkuu wa kitengo cha Habari na mawasiliano Haji Manara.
Mh. Zungu kwa niaba ya group hilo aamemkabidhi rambirambi ya TSh. 1,500,000/= Mo Ibrahim kama sehemu ya kumpa Pole.
Klabu ya Simba inaendelea kuungana na mashabiki wote kumpa pole MO Ibrahim pamoja na kumwombea yeye pamoja na familia yake nzima nguvu Kipindi hiki kigumu.

ADVERTISE HERE