Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amepata msiba mkubwa kwa kufiwa na Baba yake mzazi na ameondoka leo jijini Dar es salaam kurejea kwao Zambia kuhudhuria mazishi.
Familia ya WanaYanga tunampa pole kwa msiba huo tunamuombea kwa Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga yameachwa mikononi mwa kocha Msaidizi Shedrack Nsajigwa kwa kipindi chote ambacho Lwandamina atakosekana

ADVERTISE HERE