Okwi anukia Arabuni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jul 2019
Okwi anukia Arabuni

Matumaini ya Simba kumbakisha mshambuliaji wake Emmanuel Okwi yamezidi kufifia baada ya mfumania nyavu huyo kutoka Uganda kupokea ofa nyingi

Licha ya kutakiwa na timu kadhaa kutoka Afrika Kusini, inaelezwa Okwi anakaribia kujiunga na Fujairah Fc kutoka farme za Kiarabu

Okwi kwa sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na Simba kumalizika

Aidha kiwango alichoonyesha kwenye michuano ya Afcon ambapo aliisaidia Uganda kutinga raundi ya 16 bora, kimemuongezea soko

Okwi aliifungia Uganda mabao mawili kwenye michuano hiyo

Awali ilielezwa Okwi alikuwa tayari kuendelea kuitumikia Simba lakini alitaka alipwe Mil 115 kwa mwaka mmoja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’