Simba yatoa pole vifo vya wafanyakazi watano Azam TV

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
8 Jul 2019
Simba yatoa pole vifo vya wafanyakazi watano Azam TV

Uongozi wa Simba umetoa pole kwa Azam TV na familia zilizokumbwa na msiba kufuatia ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Singida ambayo imesababisha vifo vya watu saba

Azam TV imepoteza wafanyakazi wake watano waliofariki kwenye ajali hiyo ambayo pia watu wawili walijeruhiwa

Ajali hiyo imetokea kati ya Shelui na Igunga

Msafara ulijumuisha wafanyakazi wa Azam TV waliokuwa wanakwenda Chato kuonyesha mbashara tukio la ufunguzi wa hifadhi ya Burigi

Simba imeahirisha zoezi la kutambulisha nyota wapya kutokana na msiba huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
17h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →