Kuna taarifa kuwa klabu ya Yanga imewasilisha rufaa TFF ikipinga klabu ya Stand United kumtumia mchezaji Afidh Mussa ambaye usajili wake una utata
Mchezaji huyo alisajiliwa na Stand United kama Mtanzania lakini inadaiwa sio Mtanzania, ni raia wa Burundi
Afidh alikuwemo katika kikosi cha Stand United kilichopata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga wiki iliyopita
ADVERTISE HERE