Okwi ataka mwaka mmoja Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Jul 2019
Okwi ataka mwaka mmoja Simba

Taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji Emmanuel Okwi zimebainisha kuwa nyota huyo amekubali kuongeza mkataba kunako klabu ya Simba lakini ameweka masharti

Okwi ametaka apewe mkataba wa mwaka mmoja kwa dau la usajili la Tsh Milioni 115

Inaelezwa uongozi wa Simba ulikuwa tayari kumpa kiasi hicho cha fedha lakini kwa mkataba wa miaka miwili

Kama Simba itahuisha mkataba wake, Okwi atakuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’