Kichiba atajwa kuchukua nafasi ya Kwasi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jun 2019
Kichiba atajwa kuchukua nafasi ya Kwasi

Simba huenda ikamsajili beki wa Mwadui Fc Emmanuel Kichiba kuchukua nafasi ya Asante Kwasi ambaye inaelezwa anaachwa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alipendekeza kusajiliwa kwa beki mwingine wa kushoto atakayesaidiana na Mohammed Hussein 'Tshabalala' ambaye hivi karibuni aliongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kubaki Msimbazi

Aussems hakuridhishwa na uwezo wa Mghana Kwasi ambaye alikosa kabisa nafasi kwenye kikosi chake

Kichiba amemaliza mkataba kunako klabu ya Mwadui Fc, aliitumikia Simba kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Gwambina Fc uliofanyika wiki iliyopita Wilayani Misungwi mkoani Mwanza

Hata hivyo imefahamika kuwa beki huyo hakuwa amesaini mkataba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
37m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’