Kiungo Nkana anyemelewa na Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jun 2019
Kiungo Nkana anyemelewa na Simba

Licha ya kudaiwa kumalizana na mshambuliaji Walter Bwalya kutoka klabu ya Nkana Fc, Simba inamyemelea kiungo Harrison Chisala kutoka timu hiyo pia

Chisala mwenye umri wa miaka 21, anamudu vyema nafasi za ushambuliaji akitokea pembeni

Ni miongoni mwa nyota wa Nkana Fc walion'gara kwenye kikosi cha timu hiyo kilichoshiriki ligi ya mabingwa msimu uliopita na kutolewa na Simba kisha kuhamishiwa kwenye mashindano ya kombe la shirikisho ambayo walitolewa hatua ya robo fainali

Wiki hii Simba itaweka hadharani wachezaji wake wa kigeni ambao wataitumikia timu hiyo msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’