Pluijm awasifu 'yosso' wa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2019
Pluijm awasifu 'yosso' wa Yanga

Kocha Mkuu wa Azam Fc Hans van Pluijm amesema juzi timu yake ililazimika kufanya kazi ya ziada kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi.

Pluijm amesema licha ya timu yake kushinda mchezo huo, vijana wa kikosi cha Yanga walicheza vizuri na kuonyesha upinzani mkali

Yanga inashiriki michuano ya kombe la Mapinduzi ikitumia kikosi cha vijana kilichoongezewa nguvu na wachezaji watano wa kikosi cha kwanza

"Nawapongeza vijana wa Yanga kwa kucheza vizuri na kuonyesha ushindani licha ya kuwa wengi wao hawana uzoefu wa kutosha," alisema

Nae mshambuliaji wa Azam Fc Obrey Chirwa aliyefunga mabao mawili kwenye mchezo huo amesema anafahamu ushindi huo wameupata dhidi ya Yanga isiyo kamili

Amesema atafurahi kama atafunga siku atakapokutana na Yanga Halisi

Yanga leo inashuka kwenye dimba la Amaan kucheza mchezo wake wa tatu dhidi ya Malindi Fc, mchezo ambao inahitaji kushinda ili kuweka hai matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’