Kagere aongeza miaka miwili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jun 2019
Kagere aongeza miaka miwili Simba

Leo Simba imethibitisha kumuongezea mkataba kinara wake wa mabao Meddie Kagere ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili

Katika msimu wake wa kwanza, Kagere alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Simba akitwaa tuzo ya mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara

"Mchezaji Bora na Mfungaji Bora wa mwaka Meddie Kagere ataendelea kuwa nasi tena kwa misimu miwili ijayo. Huyu ni hazina kwetu na bado yupo sana kwa Machampioni," imesema taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’