Simba imealikwa kwenda kufungua Uwanja wa Gwambina uliopo Misungwi, Mwanza.
Hii ni heshima kubwa kwa Wanasimba wa Misungwi
Timu inatarajiwa kwenda Mwanza kwa ndege tarehe 20 Juni, 2019 na mechi itapigwa Uwanja wa Gwambina tarehe 21 Juni, 2019 dhidi ya Gwambina FC.
Wachezaji wapya wa ndani watachezea Simba kwa mara ya kwanza. Wanasimba wa Kanda ya Ziwa wametakiwa kujiandaa kuipokea timu
ADVERTISE HERE