Bocco achaguliwa nyota wa mchezo dhidi ya Sevilla

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 May 2019
Bocco achaguliwa nyota wa mchezo dhidi ya Sevilla

Nahodha wa Simba John Bocco amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo licha ya Simba kukubali kipigo cha mabao 5-4 dhidi ya Sevilla

Katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa, Bocco alifunga mabao mawili na kutengeneza bao moja lililofungwa na Clatous Chama

Aliichachafya kwelikweli ngome ya Sevilla, amestahili tuzo hiyo ambayo itabaki kumbukumbu kwenye maisha yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’